Usiwaamini watu kwa KAULI zao, washuhudie kwa MATENDO yao;
Usiwadharau watu kwa UFUKARA wao, WAHESHIMU kwa UTU wao;
Usiwajali watu kwa KIPATO chao wape HESHIMA kwa IMANI zao;
Usiwabeze watu kwa UDUNI wao bali wahurumie kwa UDHAIFU wao.
MUNGU atuwezeshe hayo na ziada ya kheri nyingine.
Amen.
No comments:
Post a Comment